Misingi Ya BIBLIA
Somo La 3: Ahadi za Mungu
Dibaji | Ahadi Katika Edeni | Ahadi Kwa Nuhu | Ahadi Kwa Abrahamu | Ahadi Kwa Daudi | Tumeacha Kitambo sehemu ya (The Kuharibiwa kwa Mbingu na Nchi (Ufu. 21:1; 2Pet. 3:6-12)., Madai ya "Uisraeli wa Visiwa vya Uingereza") | Maswali

Somo La 3: Maswali

Isimu:
email (required):
 1. Ni ipi kati ya ahadi za Mungu inayotabiri kujitahidi daima kushindana kati ya dhambi na haki ?.
  Ahadi kwa Nuhu
  Ahadi katika Edeni
  Ahadi kwa Daudi
  Ahadi kwa Abrahamu

 2. Zipi kati ya taarifa zifuatazo ni za kweli kuhusu Ahadi katika Edeni ?
  Mzao wa nyoka ni lusifa
  Kristo na wenye haki ni uzao wa mwanamke
  Uzao wa nyoka kwa muda ulipondwa na Kristo
  Uzao wa Mwanamke ulichubuliwa kwa kifo cha Kristo

 3. Uzao wa Abrahamu utaishi wapi milele ?
  Mbinguni
  Katika mji wa Yerusalemu
  Duniani
  Wengine mbinguni wengine duniani

 4. Kati ya yafuatayo yapi aliahidiwa Daudi ?
  Kwamba mtoto wako mkubwa atatawala milele
  Kwamba 'Mzao wake utakuwa na ufalme mbinguni
  Mzao huyo atakuwa Mwana wa Mungu
  Mzao huyo, Yesu, aliishi mbinguni kabla ya kuzaliwa

 5. Tunawezaje kuwa uzao wa Abrahamu ?

 6. Je ! dunia itaharibiwa ?
  Eewaa
  La

 7. Ahadi za Mungu zinathibitishaje jibu lako kwa swali la 6 ?

 8. Eleza Ahadi ya Edeni katika Mwanzo 3:15.


  Back
Home
Next