Misingi Ya BIBLIA
Somo La 2: Roho ya Mungu
Ufafanuzi | Maongozi ya Mungu | Vipawa Vya Roho Mtakatifu | Kurudishwa kwa vipawa | Biblia ni Mamlaka pekee | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Je! Roho Mtakatifu ni Mtu?, Kawaida ya kuita kitu kana kwamba ni Mtu, Mambo ya kelvini, "Nanyi mtapokea Roho mtakatifu", "Na ishara hizi zitafuata") | Maswali

Somo La 2: Maswali

Isimu:
email (required):
 1. Kati ya haya yafuatayo ni maneno gani yana maana ya 'Roho'?
  Nguvu
  Takatifu
  Pumzi
  Mavumbi

 2. Roho Mtakatifu ni nini?
  Mtu
  Nguvu
  Uweza wa Mungu
  Sehemu ya Utatu.

 3. Biblia iliandikwa kwa jinsi gani ?
  Watu waliandika mawazo yao wenyewe
  Watu waliandika Mungu alikuwa na mawazo gani
  Watu walivuviwa na Roho ya Mungu
  Baadhi ya sehemu walivuviwa, sehemu nyingine hapana.

 4. Ni sababu zipi zifuatazo zilitolewa zenye karama ya miujiza ya Roho?
  Kusaidia tendo la kuhubiri Injili
  Kuendeleza kanisa la kwanza
  Kuwashurutisha watu wawe wenye haki
  Kuwaokoa mitume toka katika shida zao wenyewe.

 5. Kutoka wapi tunakoweza kujifunza kweli ya Mungu?
  Kwa sehemu katika Biblia, kwa sehemu toka fikira zetu wenyewe
  Toka Roho Mtakatifu akituambia jambo moja moja mbali ya kusoma Biblia
  Toka katika Biblia pekee
  Toka kwa watumishi / Makuhani wa dini

 6. Taja baadhi ya karama za Roho zilizokuwepo karne ya Kwanza.

 7. Ni lini ziliondolewa? Je ! yawezekana kuwa nazo sasa?

 8. Ni jinsi gani Roho Mtakatifu anaweza kufanya kazi katika maisha yetu leo?


   Back
Home
Back