Misingi Ya BIBLIA
Somo La 2: Roho ya Mungu
Ufafanuzi | Maongozi ya Mungu | Vipawa Vya Roho Mtakatifu | Kurudishwa kwa vipawa | Biblia ni Mamlaka pekee | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Je! Roho Mtakatifu ni Mtu?, Kawaida ya kuita kitu kana kwamba ni Mtu, Mambo ya kelvini, "Nanyi mtapokea Roho mtakatifu", "Na ishara hizi zitafuata") | Maswali

2.5 Biblia ni Mamlaka pekee

Toka kile ambacho tumeona mpaka hapa katika somo hili, Roho ya Mungu inataja nia na kusudi lake, na nguvu ambazo anaweka vitu hivyo katika kutenda kazi. Tumetoa mkazo wa kwamba Roho hiyo kwa maelezo ya kwamba imefunuliwa kwetu katika kurasa za neno la Mungu. Matatizo mengi ya Ukristo wakati ule yote yameshuka katika kosa la kuhuzunisha kufahamu hili. Kwa kuwa ni vigumu kusadiki kuwa huu uwezo mkubwa umewekwa katika kitabu kimoja, sehemu zake zinazotuwia vigumu kuzielewa, ni kuvutwa kuona ya kwamba kuna namna ingine ya ufunuo wa Mungu kwa watu, kuliko Biblia. Kwa sababu ya hatia kubwa ya mwili wa mwanadamu (Yer. 17:9) unapata usafi kweli wa neno la Mungu (Yoh. 17:17) hivi huwa vigumu kuvumilia, wengi wameshindwa katika jaribu hili kwa kudai au kutaka namna nyingine ya ufunuo unaovutia zaidi katika nia ya mwili .

Sasa mifano michache imetolewa:-

Dini

Mfano mwingine wa Ufunuo waliodai

Uvutiaji huu kwa faida ya mwanadamu

Mashahidi wa Yehova

Uchapishaji wa majarida Chama cha mlinzi, ambayo yameonwa kuwa yamevuviwa.

Hakuna bidii ya mtu inayohitajika kutafakari usahihi wa tafsiri ya Biblia jibu kwa kila jambo

Ukatoliki

Matamshi ya Papa na mawazo ya makuhani, wanadai yenyewe ni mawazo ya aina ya Mungu.

Hakuna haja ya kusoma Biblia -zamani Ukatoliki uliwavunja moyo watu na hata Kukatazwa kufanya hivi. Kuweka tumaini kwa wanadamu badala ya kufanya juhudi mtu ahakikishe mwenyewe

Wamormoni

Kitabu cha Mormoni

Kimeondoa hitaji la mafunzo ya Biblia ambayo ni magumu kuelewa. Kitabu cha Mormoni kinatoa nafasi ya wokovu kwa watu wote, wakati Biblia inasema kwamba kuna watu wengi wanaoishi na kufa bila tumaini kwa kutoitwa katika maarifa ya Injili

Ukristo wa Kiroho.

‘Nuru ya ndani ambayo Imesemwa Kuwa ni Roho Mtakatifu

Wanasadiki chochote wanachohisi ni sawa, kama inavyodhaniwa Roho ya Mungu inaongoza na Kuvuviwa katika njia zisizo unganika na Biblia.

Yote haya yanatokeza haja ya kufahamu ukubwa wa Biblia kuwa ni neno la Mungu, na kuchunguza kurasa zake kwa kupata ujumbe wa kweli. Swali, "Biblia moja, Makanisa mengi - ni kwa nini ?" kwa upana limejibiwa linapofahamika ni jinsi gani kila kanisa lina, kwa kiwango fulani, limedai namna nyingine ya ufunuo wa Roho ya Mungu, yaani, mapenzi yake, mafunzo na fikira, kwa nyongeza katika huo wa Biblia.

Kama unataka kupata kanisa moja la kweli, imani moja ya kweli na ubatizo mmoja wa kweli (Efe. 4:4 -6), wito unapasa kukujia kwa sauti kubwa na dhahiri - "Rudi katika Biblia !"


   Back
Home
Next