Misingi Ya BIBLIA
Somo La 8: Asili ya Yesu
Dibaji | Tofauti zilizopo kati ya Mungu na Yesu | Asili Ya Yesu | Ubinadamu Wa Yesu | Uhusiano Wa Mungu Na Yesu | Tumeacha Kitambo sehemu ya ("Akiwa Yuna na namna ya Mungu") | Maswali

Somo La 8: Maswali

Isimu:
email (required):
 1. Je! Biblia inafundisha kwamba Mungu ni utatu pamoja?
  Eewaa
  La

 2. Orodhesha tofauti tatu kati ya Mungu na Yesu.

 3. Ni kwa njia zipi zifuatazo Yesu alikuwa tofauti nasi?
  Kamwe hakutenda dhambi
  Alikuwa ni mwana pekee wa Mungu
  Hakuweza kamwe kutenda dhambi
  Alilazimishwa na Mungu kuwa mwenye haki

 4. Ni kwa nji zipi zifuatazo Yesu alikuwa pamoja na Mungu
  Alikuwa na asili ya Mungu wakati wa maisha yake duniani
  Alikuwa na tabia timilifu kama ya Mungu
  Alijua sana kama Mungu
  Alikuwa moja kwa moja sawa na Mungu

 5. Ni kwa njia zipi zifuatazo Yesu alikuwa kama sisi?
  Alikuwa na majaribu yetu yote na yapatikanayo na wanadamu
  Alitenda dhambi wakati akiwa kijana
  Alihitaji wokovu.
  Alikuwa na asili ya mwanadamu.

 6. Ni taarifa zipi zifuatazo ni za kweli?
  Yesu alikuwa mwili mkamilifu na tabia kamilifu
  Yesu alikuwa na mwili wa dhambi lakini tabia kamilifu.
  Pande mbili Yesu alikuwa Mungu kabisa na Mwanadamu kabisa
  Yesu alikuwa na asili ya Adamu kabla ya kutenda dhambi

 7. Je; Yesu alikuwa na uwezekano wa kutenda dhambi?
  Eewaa
  La


  Back
Home
Next