Misingi Ya BIBLIA
Somo La 1: Mungu
Uwepo wa Mungu | Nafsi yake Mungu | Jina La Mungu Na Tabia Ya Sifa Yake | Malaika | Tumeacha Kitambo sehemu ya ("Mungu ni roho" (Yohana 4:24), "Matumizi ya jina la Mungu", "Ufunuo wa Mungu") | Maswali

Somo La 1: Maswali

Isimu:
email (required):
 1. Ni nini kitakachotusaidia zaidi kuamini Mungu ?
  Kwenda Kanisani
  Maombi na Kusoma Biblia
  Kuzungumuza na Wakristo
  Kutazama maumbile.

 2. Yapi ya haya yafuatayo ni ufafanuzi sahihi zaidi wa Mungu ?
  Ni wazo tu katika mioyo yetu
  Kipande cha Roho katika Hewa
  Mungu Hayupo
  Mtu halisi wa Umbo

 3. Je ? Mungu ni
  Ummoja
  Utatu
  Miungu wengi katika mmoja
  Haiwezekani kufafanua kwa njia ya yoyote

 4. Jina la Mungu' Yahweh Elohimí lina maana gani ??
  Yeye atakaye kuwa
  Atakayedhihirika katika kundi la wenye nguvu
  Mkuu
  Nguvu

 5. neno'Malaika lina maana gani ?
  Kama mtu
  Aliyefunikwa na Mabawa
  Mjumbe
  Msaidizi

 6. Je ? Malaika anaweza kutenda Dhambi ?
  Eewaa
  La

 7. Ni kitu gani kinacho kudhihirishia kuwa Mungu yupo ?


  Back
Home
Next