Misingi Ya BIBLIA
Somo La 10: Kubatizwa Katika Jina La Yesu
Maana Muhimu Sana Ya Ubatizo | Tubatizwe Jinsi Gani? | Maana Ya Ubatizo. | Ubatizo Na Wokovu | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Kubatizwa tena, Kiwango cha elimu itakiwayo kabla ya kubatizwa, Mnyang'anyi Msalabani, Mfano wa huduma ya Ubatizo) | Maswali

Somo La 10: Maswali

Isimu:
email (required):
 1. Je! tunaweza kuokolewa pasipo kubatizwa?
  Eewaa
  La

 2. Neno ‘ubatizo’ lina maana gani?
  Kujitoa
  Kunyuziwa maji
  Imani
  Kutumbukizwa/kuzama katika maji

 3. Maana yake nini Ubatizo ulioelezwa kwa Warumi 6:3-5?

 4. Ni lini yatupasa tubatizwe?
  Baada ya kujifunza Injili ya kweli na kutubu
  Tukiwa watoto wadogo
  Baada ya kupendezwa/kuvutiwa na Biblia
  Tunapotaka kujiunga na kanisa

 5. Tunabatizwa katika nini?
  Kanisa linalobatiza
  Neno la Mungu
  Kristo
  Roho mtakatifu

 6. Jambo gani linalofuata baada ya ubatizo?
  Tunakuwa sehemu ya uzao wa Abrahamu
  Hatuta tenda dhambi tena
  Kwa maana dhahiri tunaokolewa muda wote
  Dhambi zetu zinasamehewa

 7. Je! ubatizo peke yake unatuokoa?
  Eewaa
  La

 8. Je! tutapokea vipawa vya miujiza ya Roho Mtakatifu baada ya kubatizwa?
  Eewaa
  La


  Back
Home
Next