Misingi Ya BIBLIA
Somo La 7: Mwanzo wa Yesu
Unabii unaomhusu Yesu kwenye Agano la Kale | Kuzaliwa na Bikira | Nafasi ya Kristo katika mpango wa Mungu | "Hapo Mwanzo Kulikuwako Neno" (Yohana 1:1-3) | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Yesu wa Historia, Nimeshuka kutoka Mbinguni, Je? Yesu aliumba Dunia, "Kabla ya Ibrahimu, Nalikuwepo" (Yn. 8:58), Melkizedeki) | Maswali

Somo La 7: Maswali

Isimu:
email (required):
 1. Andika orodha mbili za unabii ulio kwenye Agano la Kale unaomhusu Yesu.

 2. Je ! Kimwili Yesu aliwahi kuwako kabla hajazaliwa ?
  Eewaa
  La

 3. Ni katika maana gani Yesu anaweza kusemwa alikuwako kabla ya kuzaliwa kwake?
  Akiwa ni Malaika
  Akiwa ni sehemu ya Utatu
  Akiwa Roho
  Ni katika nia na kusudi la Mungu.

 4. Ni taarifa zipi za kweli kumhusu Mariamu ?
  Alikuwa mkamilifu, Mwanamke asiye na dhambi
  Alikuwa ni Mwanamke wa kawaida
  Alipata mimba ya Yesu kwa uwezo Roho Mtakatifu
  Kwa sasa anatoa maombi yetu kwa Yesu.

 5. Je ! Yesu aliumba nchi ?
  Eewaa
  La

 6. Yohana 1:1-3 unaielewaje ?"Hapo Mwanzo kulikowako neno"kwa nini haimaanishi

 7. Kwa sababu gani unadhani ni muhimu kuwa na hakika kumhusu Yesu endapo alikuwako kimwili kabla hajazaliwa ?


  Back
Home
Next