Misingi Ya BIBLIA
Somo La 6: Mungu Na Ubaya
Mungu Na Ubaya | Ibilisi Na Shetani | Mapepo - Mashetani | Tumeacha Kitambo sehemu ya (Uchawi, Edeni palitokea nini?, Lusifa, Majaribu ya Yesu, Vita Mbinguni) | Maswali

Somo La 6: Maswali

Isimu:
email (required):
 1. Ni nani wa mwisho anayehusika na matatizo na majaribu yetu ?
  Mungu
  Tukio
  Kiumbe mwenye dhambi aitwaye shetani
  Viumbe watenda dhambi wanaoitwa mashetani au pepo.

 2. Ni nani anahusika na majaribu yetu kutenda dhambi ?
  Mwili wetu wenyewe wanadamu
  Mungu
  Roho wachafu
  Kiumbe mtenda dhambi aitwaye shetani

 3. Neno 'Ibilisi’ maana yeke nini ?
  Dhambi
  Nyoka
  Mshitaki / mchongeaji
  Lusifa.

 4. Neno 'Shetani’ lina maana gani ?
  Mtenda dhambi
  Adui
  Mnyama
  Mfalme wa pepo

 5. Je ! neno "Shetani" laweza kutumika kwa watu wema ?
  Eewaa
  La

 6. ‘Shetani’ na'Ibilisi’ kwa maneno ya mifano yaweza kutaja kitu gani ?

 7. Tunaelewa kwa jinsi gani 'pepo’ kama walivyotajwa kwenye Agano Jipya
  Malaika watenda dhambi
  Magonjwa
  Msemo wa siku zile wa magonjwa, ambayo watu walidhani yalisababishwa na'pepo’
  Viumbe wa roho.

 8. Unamwelewa vipi nyoka wa kwenye bustani ya Edeni ?


  Back
Home
Next